Yataka watu wenye fikra nzito na aghalabu wanaotafakari na kufanya meditesheni mara kwa mara ili waweze kunufaika na haya yaliyomo humu.
Lakini wapo wenye bahati ya kuzaliwa na ufahamu na utambuzi wa papo kwa hapo kwa hiyo wakikutana tu na neno moja, neno hilo huweza kubadilisha kabisa msimamo na mtazamo wao wa maisha. Huenda ukawa ni mmoja wa watu kama hao kama umefika hadi kwenye blogi hii kwa bahati tu. Karibu sana.
Haya ni mashairi yaliyotungwa miaka kadhaa kabla ya AD katika falsafa za Tao-Te-Ching. Ubeti mmoja unatosha kuwa chakula cha siku nzima kifikra. Soma na rudia tena na tena ili kunufaika na maana iliyopo ndani ya maudhui hizi.
Saturday, July 11, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)
