Kurudi ndio mwendo wa Tao
Na kujisalimisha ndio njia ya Tao.
Kila kitu huzaliwa na kuwepo,
Kuwepo huzaliwa na kutokuwepo.
AYA ZA MTAWA
[ Tao-Te-Ching ]
Copyright © Sammy Makilla-2010
Sunday, September 5, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blogi hii inawafaa zaidi watu waliokwishasoma na kuelewa kile kilichomo katika blogi nyingine kama hii ambayo inaitwa Jitambue na Jifahamu.
No comments:
Post a Comment